notícias musicais

top 13 artistas

top 13 musicas

Confira a Letra Tazama Jua

Chaostar

Tazama Jua

Ni Uhuru ambayo
Inatingisha Majani
Ja hali

Rangi ya Kumbukumbu
Tazama Jua
Tazama hali inayokuza

Rangi ya Kumbukumbu
Tazama Jua
Fungua Macho
Macho yako

Rangi ya Kumbukumbu
Tazama Jua
Rangi ya Roho
Tazama Jua

Rangi ya Kumbukumbu
Tazama Jua
Rangi ya Roho
Tazama Jua