notícias musicais

top 13 artistas

top 13 musicas

Confira a Letra Zoba

D Voice

Zoba

Kama kosa la macho
Hata mkiziba nsimuone
Ndani ya moyo wangu namuona yeye
Oooh kimaso maso wenye wivu mukome
Mtaambulia matandu solo nala na yeye
Na mkisema ananichuna ntampa paka BOT
Kama penzi taalumu basi ye ana degree
Kwake simezi mezi azuma kitu swafi og
Midomo itawanuka kwa kununa
Mngetafuna ata bigijii

Yeye niwangu mimi mimi ni wake yeye
Wengine sa wanini, staki nichezewe
Yeye niwangu mimi mimi ni wake yeye
Wengine sa wanini, staki nichezewe

Mimi kwake zoba (mimi kwake zobaa)
Mimi kwake jinga (mimi kwake jingaa)
Mimi kwake zoba (mimi kwake zobaa)
Mimi kwake jinga (mimi kwake jingaa)

Vyandani ni siri kanikataza nsiseme
Ila ningewaambia raha anazonipa
Kunako alfajiri, anaparama mnazi augeme
Huku tunasinzia, paka tunafika
Alafu darling nikupe sirii
Mikwako chalii moyo na mwili
Kama mie gari we ndio tairi
Usije ukaenda mbali utanihadhirii
Amina amina na iwe kheri amina
Daima daima nikuvishe shera na hina
Amina amina na iwe kheri amina
Daima daima nikuvishe shera na hina

Yeye niwangu mimi mimi ni wake yeye
Wengine sa wanini staki nichezewe
Yeye niwangu mimi mimi ni wake yeye
Wengine sa wanini staki nichezewe

Mimi kwake zoba (mimi kwake zobaa)
Mimi kwake jinga (mimi kwake jingaa)
Mimi kwake zoba (mimi kwake zobaa)
Mimi kwake jinga (mimi kwake jingaa)

Tracker