notícias musicais

top 13 artistas

top 13 musicas

Confira a Letra Ngwalakadile Kuwa

P Nchilima

Ngwalakadile Kuwa

Nimewaona wengi baba waliye kutumaini
Mungu ukawafariji, ata yakobo aling'ang'ana
Na wewe mungu ukambariki, ata mi mungu
Nakutumaini maombi yangu uyasikiye maono
Yangu uyatimize mungu, kila siku napenda
Nikuimbie mungu lakini sina chakulipiya
Ata hapa nilipo sina nguvu mungu naomba unitie nguvu nimalize safari

Mungu ni nfariji kwa wale waliochoka
Mungu ni nfariji huuuu
Mungu ni nfariji kwa wale waliochoka
Mungu ni nfariji huuuu

But I alone I'll never gain
I need your aid evermore
You bless me
I need accomplish my good dreams
Jesus is my favorite place

Tabu ya dunia hii bila wewe natawezaje
Naimba nakutumaini mungu, natafuta
Maisha nakutumaini sana, nifariji mungu
Nisije kukuacha, ooo nifariji mungu nisije laumu
Na nakuomba umfariji na yule

Mungu ni nfariji kwa wale waliochoka
Mungu ni nfariji huuuu
Mungu ni nfariji kwa wale waliochoka
Mungu ni nfariji huuuu

Asante

Tracker