notícias musicais

top 13 artistas

top 13 musicas

Confira a Letra Watakuumiza (feat. Ice Sengen)

Eljjah

Watakuumiza (feat. Ice Sengen)

Ozay bitch
Ice sengen
Watch gang
Watch young gang

Unaye mwamini anaweza kukuacha
Unaye mpenda anaweza kukuacha
Maisha ni siri hakuna waku yelewa
Ila ninachotaka tu kukwambia
We pambana utafika kwenye ndoto
Utafika kwenye ndoto
Kuna wakati watu

Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza

Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza

Ngoja kwanza jiangalie
So kila kikaacho ni dhahabu
Unao wapenda wawo awakupendi
Unao watakia mazuri wawo ni mabaya tu
Ya layali ya layala
Wanatamani sana
Kukufanizia mabaya tu
Furaha yao nikukuona we uteseke
Furaha yao wawo walele

Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza

Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza
Watakuumiza