notícias musicais

top 13 artistas

top 13 musicas

Confira a Letra A Dance In Fire

HOYO MiX

A Dance In Fire

Nyimbo za moto ziwache ziwake angani
Kama vile moto usiozimika
Waenea nchini nenda mbele kwa ujabari
Ijapokuwa hata majivu ya motoni tena

Kwa njia ya mwenyewe moto daima utawaka
Moto daima utawaka
Na uso wa ulimwengu
Utajitokeza haponi na moto utakuwakia
Na moto utakuwakia
Na moto utakuwakia

Kia, kia