(Nextlevel Music)
Nusder!
Njia tambarare
Nimesahau mabonde milima ya kale
Oooh oh, haupo kama wale
Mi na wewe mapacha sale sale
Ooh oh oh
Kasuku uuh, ndege wangu
Muchuchu wa utamu yangu
Kasuku uuh, ndege wangu
Muchuchu wa utamu yangu
Nimepata kamwari, oh mama
Toka Zanzibari, oh mama
Kanilambisha asali, oh mama
Asali toka Zenji
Ua Zuchu nipe sukari, oh mama
Tukizima kibatari, oh mama
Kama Mbosso mi hodari, oh mama
Hodari wa mapenzi
Nampenda! Ana kasura ka upole
Na macho kusinzia
Nampenda! Kafunzwa mkole
Sichoki kumsifia
Nampenda! Yelele yelele
Jamani anavutia
Nampenda! Pete kidole
Ndo anachosubiria
Tusigombane lakini
Helo wakute wenga, usinikute na mimi
Nimekupеnda niamini
Tuumizane moyo, tutesane kwanini?
Aah aah ah ah
Yamеwatesa wengi
Wengine washajinyonga kisa mapenzi
Ooh usiniache mpenzi
Nisije kunywa sumu kisa mapenzi
Nimepata kamwari, oh mama
Toka Zanzibari, oh mama
Kanilambisha asali, oh mama
Asali toka Zenji
Ua Zuchu nipe sukari, oh mama
Tukizima kibatari, oh mama
Kama Mbosso mi hodari, oh mama
Hodari wa mapenzi
Nampenda! Ana kasura ka upole
Na macho kusinzia
Nampenda! Kafunzwa mkole
Sichoki kumsifia
Nampenda! Yelele yelele
Jamani anavutia
Nampenda! Pete kidole
Ndo anachosubiria
Hata waseme sura mbaya, kinawahusu nini?
Nampenda! Hata wamwite malaya, kinawawasha nini?
Nampenda! Maneno neno kibao sitaki
Nampenda! Hata muweke vikao simwacho