(Lalalee lalelaa)
(Mocco)
Mbona mimi sijui?
Nina nini sijui?
Umenipa nini kidawa?
Kila nachofanya ni sawa
Hakipandi chakula, muda wa kula
Yani mpaka unilishe
Usiku usingizi sina
Mpaka ulale wewe, aahh
Una uzuri wa sura
Na hiyo chura, ufundi uzizidishe
Wewe ni size yangu, kina twaendana wewe
You be there for me my baby
I'll be there for you my baby
Baby, wewe ni wangu
Ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
Wewe ndio mami love
Wewe ndio mami love ooh
Mapenzi hayana vipimo
Mimi na wewe tukuchitino
Nishadondosha wino
Nishadondosha wino ohh
Only you, only you
Only you, only you, only you
Only you (ohhh), only you (ohhh)
Only you, only you, only you
Mungu anaumba, mungu anachora
Mungu anayakata kata maumbo
Mungu anafumba
Mola, kakujaza jaza nyama lundo
Si ndoma, si kokoto
Vimacho vyako changarawe
Mwili homa, nahisi ya rosto
Tuanze kula ndio tunawe
My chioma, my tototo
Ukinimwagia sandakalawe
If you pour sandalawe on me
Sodoma nauona moto
Ukibiduka para nawe
Mwarubaini, ni dawa ya tumbo
Usiichanganye na sukari, ooh na sukari
Nimebaini, penzi ni fumbo
Si maandishi ya daftari
Ukicheka mashavu vishimo
Mtamu mpaka kisigino
Wewe ndio mami love
Wewe ndio mami love ooh
Mapenzi hayana vipimo
Mimi na wewe tukuchitino
Nishadondosha wino
Nishadondosha wino (only you)
Only you, only you
Only you, only you, only you
Only you (ohhh), only you (ohhh)
Only you, only you, only you